Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika ChacheBy Nasir alzahrani ( 0.990 )
Sira ya Mtume (ya kuisoma) katika dakika chache: Sifa na vipengele vya kitabu 1. Kijitabu cha kwanza cha mfukonikinachohusu Sira ya Mtume (S.A.W), ili kiwe pamoja nawe safariniau nyumbani. 2. Ni Kijitabu kilicho chepesi kukibeba, kidogo, chenye manufaa mengi, na maana ...